RAIS WA KOREA KASKAZINI AMTEMBELEA MWENZAKE WA CHINA


Kim Jong-un makes first ever Foreign Trip, meets Xi Jinping - BellaNaija
Rais wa korea kaskazini amefanya ziara yake ya kwanza toka mwaka uanze nje ya nchi kwa kumtembelea rais wa China. Ziara hiyo ilifanyika mnamo machi 28 mwaka huu. ziara hiyo ilikuwa ni baada ya mwaliko binafsi ambao alipewa na rais Xi Jinping kumtembelea katikia nchi yake. mkutano wao ulifanyika katika ukumbi wa stesheni ya treni ya Seoul

Ziara hiyo imefanyika licha ya kwamba kuna jitihada za jumuiya ya kimataifa hususani mataifa ya kimagharibi kuongeza presha kwa mataifa mbalimbali kumtenga kiongozi wa korea kaskazini na taifa lake kwa kumwekea vikwazo vya kibiashara.
Rais Kim Jong UN amesifu mkutano huo na amesema mahusiano baina ya Korea Kaskazini na China yalianza mda mrefu na yatadumu kwa mda mrefu halikadhalika kwani yapo imara.
SHARE

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment