NYUMBA YA KABILA YASHAMBULIWA NA RISASI

 

Mojawapo ya nyumba ya raisi wa jamhuri ya kidemokrasia ya Congo Joseph Kabila imeshambuliwa kwa risasi iliyoko mashariki mwa Congo.Eneo hilo limekumbikwa na mapigano ya mara kwa mara.tukio hilo limetokea mnamo machi 30. hakuna aliyekamatwa mpaka sasa kwa tukio hilo na wakati tukio hilo linatokea Kabila hakuwepo ndani ya nyumba hiyo.

nchi ya congo iligubikwa na vurugu toka mnamo desemba 2016 baada ya raisi Kabila kukataa kuachia madaraka baada ya kuisha mda wake wa kutawala kikatiba. kikundi cha wanamgambo cha Maimai ndio kinachodaiwa kuhusika na tukio hilo.
SHARE

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment