MAONYESHO YA MALENGO YA MILENIA KUFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM

Kampuni ya Sahara ventures inatarajia kufanya maonyesho ya picha zenye kubeba ujumbe wa malengo endelevu ya malengo ya dunia. maonyesho hayo yanatarajiwa kuwa ni ya aina yake kwani yatakuwa ni maonyesho ambayo yatatumia  wapiga picha mahiri walioko nchini kuonyesha kazi zao za picha ambazo zenye kubeba jumbe mbalimbali ambazo zenye kutoa elimu juu ya malengo endelevu ya dunia. maonyesho hayo yanatarajiwa kufanyika ijumaa ya tarehe 16 na jumamosi tarehe 17 mwezi wa 3 katika ukumbi wa makumbusho ya taifa uliopo jijini Dar es salaam.

Wageni mbalimbali mashuhuri watakuwepo ikiwemo mkurugenzi mkazi wa umoja mataifa tanzania mheshimiwa Alvaro Rodriguez na mabalozi mbalimbali. mshereheshaji mkuu wa onyesho hilo atakuwa ni msanii Gadi Ramadhani.maonyesho hayo yatakuwa ni bure na hakuna kiingilio chochote 

 Image may contain: one or more people and text
SHARE

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment