WABUNGE VINARA WA JINSIA WAPATIWA SEMINA NA WAWEZESHAJI KUTOKA TGNP MTANDAO


Mwenyekiti wa Umoja wa Wabunge wanawake Tanzania( TWPG), Mhe Magreth Sitta (kushoto) akizungumza wakati wa semina kwa vinara wa jinsia katika mpango wa maendeleo kwa mwaka 2018/2019  na Muongozo wa Bajeti kwa Mwaka 2018/2019 ambao ni Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliyokuwa inahusu mpango kazi wa kurasimisha masuala ya jinsia katika bajeti ya mwaka 2018/2019 ilifanyika leo katika hoteli ya Morena Mjini Dodoma, semina iliyokuwa inawezeshwa na wawezeshaji kutoka TGNP MtandaoIMGL4311
Vinara wa jinsia katika mpango wa maendeleo kwa mwaka 2018/2019  na Muongozo wa Bajeti kwa Mwaka 2018/2019 ambao ni Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakifuatilia semina iliyokuwa inahusu mpango kazi wa kurasimisha masuala ya jinsia katika bajeti ya mwaka 2018/2019 ilifanyika leo katika hoteli ya Morena Mjini Dodoma, semina iliyokuwa inawezeshwa na wawezeshaji kutoka TGNP Mtandao
IMGL4322
Mwenzeshaji kutoka TGNP Mtandao Ndg. Geofrey Chambua akizungumza na vinara wa jinsia katika mpango wa maendeleo kwa mwaka 2018/2019  na Muongozo wa Bajeti kwa Mwaka 2018/2019 ambao ni Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika semina iliyokuwa inahusu mpango kazi wa kurasimisha masuala ya jinsia katika bajeti ya mwaka 2018/2019 ilifanyika leo katika hoteli ya Morena Mjini Dodoma.
PICHA NA OFISI YA BUNGE
SHARE

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment