WAZIRI ANGELLAH KAIRUKI AZINDUA BODI YA USHAURI YA TPSCMkuu wa Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) Dkt. Henry Mambo akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa Bodi ya Ushauri wa Chuo hicho Jijini jana , Bodi hiyo ilizinduliwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora) Angellah Kairuki katikati, kulia kwa waziri ni Dkt.Laurian Ndumbaro Katibu Mkuu Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dkt Laurian Ndumbaro, akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa Bodi ya Ushauri wa Chuo hicho Jijini Dar es Salaam jana, kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora) Angellah Kairuki.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora) Angellah Kairuki akisisitiza jambo wakati wa uzinduzi wa Bodi ya Ushauri ya TPSC Jijini Jana, kushoto ni Mkuu wa TPSC Dkt.Hnery Mambo na Kulia ni Katibu Mkuu Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dkt Laurian Ndumbaro 
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora) Angellah Kairuki akimkabidhi ‘vitendea kazi’ mwenyekiti mpya wa Bodi ya Ushauri ya TPSC Dkt.Charles Msonde Jijini Dare es Salaam jana wakati wa hafla ya uzinduzi wa Bodi hiyo
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora) Angellah Kairuki akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Bodi ya Ushauri ya Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) wa kwanza kulia ni Mkuu wa TPSC Dkt Henry Mambo na wa Pili Kulia ni Mkuu Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dkt Laurian Ndumbaro.
SHARE

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment