Rais wa Catalonia asaini kujitenga


Rais wa Catalonia Carles PugdemontHaki miliki ya pichaAFP
Image captionRais wa Catalonia Carles Pugdemont
Rais wa Catalonia Carles Pugdemont , amesaini hati ya kuwa huru,lakini ametoa muda zaidi wa mazungumzo na serikali ya Hispania kuhusiana na kujitenga kwao.
Haijafahamika mara moja kama hati hiyo iliyosainiwa inakubalika kisheria,kwa kuwa kura ya maoni iliyopigwa siku tisa zilizopita ilikuwa kwa mjibu wa mahakama ya katiba.
Hata hivyo kujitenga kwa jimbo la Catalonia kutatakiwa kusubiria idhini ya bunge la Catalonia.
Puigdemont awali aliliambia bunge kuwa jimbo hilo limeshinda kuwa na haki ya kujipatia uhuru wake kama taifa,Lakini serikali ya Hispania imeahidi kuzuia namna yoyote ya kujitenga kwa jimbo hilo.
SHARE

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment