Miili ya waliouawa DRC yapatikana Saa 3 zilizopita Sambaza habari hii Facebook Sambaza habari hii Twitter Sambaza habari hii Messenger Sambaza habari hii Email Mshirikishe mwenzako DRC Image caption Miili ya watu 26 waliouawa katika shambulio lililofanywa na waasi mapema mwezi huu, imegunduliwa Jeshi la Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Congo limesema miili ya watu 26 waliouawa katika shambulio lililofanywa na waasi mapema mwezi huu, imegunduliwa mashariki mwa nchi hiyo. Marehemu wote hao ambao walikuwa ni raia isipokuwa mmoja, walishambuliwa katika eneo la Beni katika jimbo la Kivu kaskazini wakati wakisafiri na gari ndogo ya kukodi. ADFHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES Image caption Jeshi la Congo na Walinda amani wa Umoja wa Mataifa wamekuwa wakililaumu kundi la wapiganaji wa Uganda la Allied Democratic Forces ADF Mamlaka nchini humo zinasema kwamba zilishindwa kujua zilipo maiti hizo mapema kwa sababu ya mapigano makali yaliyokuwa yakitokea katika eneo hilo, ambako mamia ya watu waliuawa katika siku za hivi karibuni. Jeshi la Congo na Walinda amani wa Umoja wa Mataifa wamekuwa wakililaumu kundi la wapiganaji wa Uganda la Allied Democratic Forces ADF, kuhusika na mauaji hayo. Raia 20 wauawa kikatili DR Congo DR Congo imo kwenye 'hatari kubwa' Shambulio la kikabila lauwa watu 30 DR Congo


DRC
Image captionMiili ya watu 26 waliouawa katika shambulio lililofanywa na waasi mapema mwezi huu, imegunduliwa
Jeshi la Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Congo limesema miili ya watu 26 waliouawa katika shambulio lililofanywa na waasi mapema mwezi huu, imegunduliwa mashariki mwa nchi hiyo.
Marehemu wote hao ambao walikuwa ni raia isipokuwa mmoja, walishambuliwa katika eneo la Beni katika jimbo la Kivu kaskazini wakati wakisafiri na gari ndogo ya kukodi.
ADFHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionJeshi la Congo na Walinda amani wa Umoja wa Mataifa wamekuwa wakililaumu kundi la wapiganaji wa Uganda la Allied Democratic Forces ADF
Mamlaka nchini humo zinasema kwamba zilishindwa kujua zilipo maiti hizo mapema kwa sababu ya mapigano makali yaliyokuwa yakitokea katika eneo hilo, ambako mamia ya watu waliuawa katika siku za hivi karibuni.
Jeshi la Congo na Walinda amani wa Umoja wa Mataifa wamekuwa wakililaumu kundi la wapiganaji wa Uganda la Allied Democratic Forces ADF, kuhusika na mauaji hayo.
SHARE

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment