Serikali yalirudisha 'Kifungoni' Gazeti la MwanaHalisi tena kwa miaka 2


Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Habari na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassani Abbasi akisisitiza jambo mbele ya waandishi wa habari kuhusu kufungiwa kwa Gazeti la MwanaHalisi leo Jijini Dar es Salaam. Gazeti hilo limefungiwa kwa muda wa miezi 24 kutokana na kukiuka maadili ya uandishi wa habari mara kwa mara bila kujirekebisha. Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi (Usajili) Bw. Patrick Kipangula.
Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Habari na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassani Abbasi akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu kufungiwa kwa Gazeti la MwanaHalisi leo Jijini Dar es Salaam. Gazeti hilo limefungiwa kwa muda wa miezi 24 kutokana na kukiuka maadili ya uandishi wa habari mara kwa mara bila kujirekebisha. Kulia ni Mkurugenzi Msaidizi (Habari na Picha) Bw. Rodney Thadeus.
Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Habari na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassani Abbasi akizungumza na waandishi wa habari kuhusu kufungiwa kwa Gazeti la MwanaHalisi leo Jijini Dar es Salaam. Gazeti hilo limefungiwa kwa muda wa miezi 24 kutokana na kukiuka maadili ya uandishi wa habari mara kwa mara bila kujirekebisha. Kulia ni Mkurugenzi Msaidizi (Habari na Picha) Bw. Rodney Thadeus na Mkurugenzi Msaidizi (Usajili) Bw. Patrick Kipangula.
Waandishi wa Habari wakifuatilia mkutano baina yao na Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassani Abbasi alipokuwa akizungumzia kuhusu kufungiwa kwa Gazeti la MwanaHalisi leo Jijini Dar es Salaam.(Picha na: Frank Shija)
SHARE

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment