KATIBU MKUU WIZARA YA AFYA MAENDELEO YA JAMII JINSIA WAZEE NA WATOTO B IBI SIHABA NKINGA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA WA MTOTO WILAYA YA MUFUNDI.Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto anayeshughulikia Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii Bibi Sihaba Nkinga akiwasili katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Mufundi wakati alipotembelea Mkoani Iringa.
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto anayeshughulikia Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii Bibi Sihaba Nkinga akitia saini katika kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Mufundi wakati alipotembelea mkoani Iringa.
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto anayeshughulikia Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii Bibi Sihaba Nkinga akizungumza na Kamati ya Ulinzi na Usalama wa wa mtoto ya Wilaya ya Mufindi alipotembelea Mkoani Iringa.
Baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wa wa mtoto ya Wilaya ya Mufindi wakimsikiliza Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto anayeshughulikia Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii Bibi Sihaba Nkinga(hayupo pichani) wakati Katibu Mkuu huyo alipotembelea Mkoani Iringa.
Mkuu wa Wilaya ya Mufindi Mhe. Jamhuri William akisistiza jambo wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wa wa mtoto ya Wilaya ya Mufindi wakati Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto anayeshughulikia Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii Bibi Sihaba Nkinga alipotembelea Mkoani Iringa.
Kaimu Kamishna wa Ustawi wa Jamii Bw. Rabikira Mushi akieleza jambo kwa na wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wa wa mtoto ya Wilaya ya Mufindi wakati Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto anayeshughulikia Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii Bibi Sihaba Nkinga alipotembelea mkoani Iringa.
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Jamii Bw. Patrick Golwike akifafanua jambo kwa wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wa wa mtoto ya Wilaya ya Mufindi wakati Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto anayeshughulikia Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii Bibi Sihaba Nkinga alipotembelea Mkoani Iringa.
Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya ya Mufindi Mhe. Maua Rashid akifafanua jambo la kisheria kwa Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto anayeshughulikia Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii Bibi Sihaba Nkinga alipotembelea Wilayani hapo na kuzungumza na Kamati ya Ulinzi na Usalama wa wa mtoto ya Wilaya.
Mjumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wa mtoto ya Wilaya ya Mufindi Inspecta akielezea masuala mbalimbali ya kesi zilizoripotiwa polisi kutokana na ukatili dhidi ya kwa Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto anayeshughulikia Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii Bibi Sihaba Nkinga alipotembelea Wilayani hapo.
Mkuu wa Polisi Wilaya ya Mufindi Abechi Masanga akitoa taarifa kwa Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto anayeshughulikia Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii Bibi Sihaba Nkinga zilizoripotiwa Polisi kuhusu ukatili dhidi ya watoto wakati Katibu Mkuu huyo alipotembelea mkoani Iringa.
Mkuu wa Polisi Wilaya ya Mufindi Abechi Masanga(katikati) akielezea jinsi Dawati la Jinsia na watoto kwa Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto anayeshughulikia Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii Bibi Sihaba Nkinga linavyofanya kazi yake wakati alipotembelea Wilayani hapo.
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto anayeshughulikia Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii Bibi Sihaba akitoka katika Ofisi ya Dawati la Jinsia na watoto katika Kituo cha Polisi Wilaya ya Mufindi kujionea shughuli zinazofanyika katika dawati hilo.
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto anayeshughulikia Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii Bibi Sihaba akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na usalama wa mtoto na watendaji wa Dawati la Jinsia na watoto Wilaya Mufindi Mkoani Iringa.Picha na Erasto Ching’oro WAMJW
SHARE

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment