Watu kadhaa waokolewa baada ya magari ya angani kukwama Ujerumani


Firefighters assess the damage caused after a cable car struck a pillar in Cologne, Germany, 30 July 2017Haki miliki ya pichaEPA
Image captionWatu kadhaa waokolewa baada ya magari ya angani kugongana

Watu kadhaa waokolewa baada ya magari ya angani kukwama Ujerumani

Watu kadhaa walibaki wamekwama hewani baada ya gari la angani la kutumia nyaya kugonga nguzo na kusimama juu wa mto Rhine nchini Ujerumani.
Wazima moto na makundi ya waokoaji mjini Cologne walitumia kreni kuwafikia abiria 75 waliokuwa wamekwama baadhi ambao waliripotiwa kuwa umbalia wa hadi mita 40 angani.
Picha zilionyesha watoto wakishushwa ardhini lakini hakuna majeruhi walioripotiwa.
Magari yote 32 yaliyokuwa yakihudumu waki huo yalisimama wakati ajali ilitokea.
A man and a child are abseiled from a gondola over the Rhine in Cologne, western Germany, 30 July 2017Haki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionPicha zilionyesha watoto wakishushwa ardhini lakini hakuna majeruhi walioripotiwa.
German fire crews evacuate trapped passengers from suspended cable cars that run over the river Rhine after a gondola ran into a support pillar in Cologne, Germany, 30 July 2017Haki miliki ya pichaEPA
Image captionWazima moto na makundi ya waokoaji mjini Cologne walitumia kreni kuwafikia abiria 75 waliokuwa wamekwama
German fire crews evacuate dozens of passengers from suspended cable cars that run over the river Rhine after a gondola ran into a support pillar in Cologne, Germany, 30 July 2017Haki miliki ya pichaEPA
Image captionWazima moto na makundi ya waokoaji mjini Cologne walitumia kreni kuwafikia abiria 75 waliokuwa wamekwama
A mother and her child abseil from a gondola over the Rhine in Cologne, western Germany, 30 July 2017Haki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionPicha zilionyesha watoto wakishushwa ardhini lakini hakuna majeruhi walioripotiwa.
SHARE

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment