MATUKIO NA PICHA KATIKA MAONESHO YA 41 YA BIASHARA YA KIMATAIFA YA SABASABA


Wananchi wakiwa wametoka kununua bidhaa mbalimbali  kwenye Maonesho ya 41 ya biashara ya Kimataifa katika Viwanja vya Sabasaba yanayoendelea Jijini Dar es salaa.
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt Philip Mpango (katikati) akiwa kwenye Maonesho ya 41 ya biashara ya Kimataifa katika Viwanja vya Sabasaba yanayoendelea Jijini Dar es salaa.
Mwenyekiti wa Mfuko wa Mwalimu Nyerere Mzee Joseph Butiku akipata maelezo katika banda la Veta, katika Maonesho ya  41 ya Biashara ya Kimataifa katika viwanja vya Mwalim Nyerere jijini Dar es Salaam.
Mwananchi akiwa amebeba godoro katika mkokoteni wake  kwenye Maonesho ya 41 ya biashara ya Kimataifa katika Viwanja vya Sabasaba yanayoendelea Jijini Dar es salaam.


 
 
 Wananchi wakiwa wamepumzika kwenye Maonesho ya 41 ya biashara ya Kimataifa katika Viwanja vya Sabasaba yanayoendelea Jijini Dar es salaam,
SHARE

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment