MAALIM SEIF AJUMUIKA KATIKA FUTARI NA WAKAZI WA MAGOMENI MZIMUNI, DAR ES SALAAM Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi Cuf , Maalim Seif Shariff Hamad  akizungumza na wakazi wa Kata ya Mgomeni Mzimuni ambao alijumuika nao katika futari ya pamoja iliyoandaliwa katika ofisi za umoja wa wabunge wa CUF iliyopo katika kata hiyo.
  Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi Cuf , Maalim Seif Sharif Hamad  akiomba dua pmoja na viongozi wengine waandamizi wa Chama Cha Wananchi CUF ambao walikusanyika kwa ajili ya futari katika kata ya Magomeni Mzimuni.
  Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi Cuf , Maalim Seif Sharif Hamad  akiwa ameketi katika kiti pamoja na Wanachama wengine wa CUF katika ofIsi za umoja wa wabunge wa Chama cha Wanachi CUF
 Baadhi ya wabunge wa Chama cha Wananchi CUF wakiwa wameketi wakifuturu futari iliyoandaliwa na kata ya Magomeni Mzimuni
  Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi Cuf , Maalim Seif Sharif Hamad  akiteta na Mwenyekiti wa Matawi ya CUF Rashid Abdullah mara baada ya kupata futari ya pamoja na wakazi wa Magomeni Mzimuni
  Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi Cuf , Maalim Seif Sharif Hamad   akiteta na Madiwani wa Manispaa ya Ilala wakiongozwa na Naibu Meya wa Manispaa hiyo  Kushoto, Omary Kumbilamoto mara baada ya kupata futari ya pamoja
 Mbunge wa Viti Maalum Chama cha Wananchi CUF kutokeaWilaya ya Mafia mkoa wa pwani , Riziki Ngwali akizungumza mara baada ya kupata futari ya pamoja katika ofsi za wabunge wa Chama cha Wananchi CUF
 Mwenyekiti wa Matawi ya CUF Rashid Abdullah Akizungumza kutoa shukrani kwa katibu mkuu wa CUF kwa kujmuika nao pamoja
 Sehemu ya wanachama wa CUF wakiwa wameketi kumsikiliza kiongozi wao
 Naibu meya wa Manispaa ya Ilala ,Omary Kumbilamoto akiwa anazungumza jambo na viongozi wengine wa Chama cha Wananchi CUF
Sehemu ya Wanachama wa CUF wakijadili jambo mara baada ya kupata futari
SHARE

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment