Erdogan kuwalinda walinzi waliopiga waandamanaji Washington


Walinzi wa Erdogan wakiwashambulia Raia wa Uturuki waishio Marekani
Image captionWalinzi wa Erdogan wakiwashambulia Raia wa Uturuki waishio Marekani
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan amesema atafanya kila liwezekanalo kushughulikia kuondolewa kwa kibali cha kukamatwa kwa walinzi wake 12 ambao walionekana kuwapiga waandamanaji mjini Washington.
Tukio hilo lilitokea nje ya ubalozi wa Uturuki mwezi uliopita.
Picha za video zinaonyesha zinaonyesha walinzi wa Erdogan wakiwapiga mateke baadhi ya waandamanaji huku Rais Erdogan akishuhudia tukio hilo.
Rais Erdogan amesema walinzi wake walikuwa wakifanya kazi yao
Image captionRais Erdogan amesema walinzi wake walikuwa wakifanya kazi yao
Maafisa wa Marekani wanasema kuwa walinzi hao watakamatwa iwapo watarejea nchini humo wakati wowote.
SHARE

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment