BALOZI ADADI AWAFUTURISHA WAKAAZI WA JIMBONI KWAKEMbunge wa Jimbo la Muheza(CCM) Balozi Adadi Rajabu akizungumza na wananchi wa Jimbo hilo mara wakati wa futari iliyoandiandaa nyumbani kwake kwa wananchi
Mbunge wa Jimbo la Muheza(CCM) Balozi Adadi Rajabu kushoto katikati ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Muheza wakiwa na wageni waalikwa wakipiga dua
Mkuu wa wilaya ya Muheza,Hajat,Mhandisi Mwanasha Tumbo akizungumza wakati wa futari hiyo
Wageni waalikuwa wakipata futari hiyo ambayo iliandaliwa na Mbunge wa Jimbo la Muheza,Balozi Adadi Rajabu nyumbani kwake
 Wageni waalikuwa wakipata futari hiyo ambayo iliandaliwa na Mbunge wa Jimbo la Muheza,Balozi Adadi Rajabu nyumbani kwake
 MNEC wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Mkinga,Mwasingo naye akipata futari hiyoMbunge wa Jimbo la Muheza(CCM) Balozi Adadi Rajabu akiwa na wananchi wa Jimbo lake wakipata futari
 Mwandishi wa AZAM TV mkoani Tang,Mariam Shedafa kulia na Anna Peter wakipata futari 
 Mkuu wa wilaya ya Muheza,Hajat,Mhandisi Mwanasha Tumbo kushoto mwenye kikombe cha chai akipata futari na wageni wengine.
 Katiby Tawala wa wilaya ya Muheza (DAS) Desderia Haulekulia akipata futari na wageni wengine waalikuwa nyumbani kwa Mbunge wa Jimbo la Muheza,Balozi Adadi Rajabu

Mbunge wa Jimbo la Muheza Mkoani Tanga,Balozi Adadi Rajabu akiagana na wananchi waliofika kupata futari nyumbani kwake
Habari kwa hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha.
SHARE

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment