Raia wa Urusi akamatwa kwa udukuzi wa uchaguzi Marekani


Mdukuzi wa mitandao
Image captionMdukuzi wa mitandao
Pyotr Levashov, ambaye alishikwa tarehe 7 Aprili, kwa sasa amewekwa rumande.
Shirika la habari la AFP pia ilijulishwa kwamba Marekani ilikuwa imetoa ombi la Levashov kurudishwa nchini humo.
Ombi hilo litapelelezwa na mahakama ya jinai ya Uhispania, AFP iliongezea.
El Confidencial, tovuti ya habari Uhispania ilisema kuwa hati ya kukamatwa kwa Levashov ilitolewa na Marekani kwa kile kilichokisiwa kuwa kudukua mitandao hatua iliodaiwa kusaidia kampeni ya Trump.
SHARE

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment