EFM YAKABIDHI PIKIPIKI MBILI KWA WASHINDI WA SHIKA NDINGA WILAYA YA KINONDONI


 Washiriki wanaume a shindano la Shika Ndinga wakiwa na majaji  katika ahatua za awali za shindano hilo
 Washiriki wa Kike wa Shindano la Shika Ndinga linalo andaliwa na kituo cha Radio cha Efm wakiwa katika mbio za kujaza vikombe kabla ya kuingia katika raundi ya pili
 washiriki wakiwa katika mchuano mkali wa kujaza vikombe maji
 Kikundi cha muziki cha Wadada kutoka mkubwa na Wanawe wakitoa burudani ya nguvu kwa mashabiki wa EFM waliofika katika shoo hiyo.
 Sehemu ya banda la wadhamini wa shindano hilo , Property Internationala wanao jihusisha na uuzaji wa Viwanja.
 Afisa Masoko wa Kampuni ya Property International ,Leila Mahingu akizungumza na wakazi wa Kinondoni juu ya umuhimu wa kuwa na kiwanja chenye hati
 Washiriki wa Kiume waliongia tano bora katika shindano la Shika ndinga wakiwa katika kinyang'anyiro
 Wanawake walioingia katika hatua ya tano bora ya shindano la shika ndinga wakipambana kupata mshindi atakayeondoka na pikipiki
 Washiriki wa kike waliongia fainali kumtafuta mshindi
 Washiriki wa Wanaume wakiwa hatua ya fainali kumpata bingwa atakayeondoka na pikipiki
 Mshindi wa shindano la Shika ndinga katika Wilaya ya Kinondoni , Alphonce Daudi akisaidiwa na watu wa msalaba mwekundu kushuka chini
  Mshindi wa shindano la Shika ndinga katika Wilaya ya Kinondoni , Alphonce Daudi akisaini mkataba wa kuwa mshindi wa shindano lashika ndinga huku akiwa amesimamiwa na Afisa Uhusiano wa Efm Neema Makarasi
Mshindi wa Shindano la Shika ndinga na Efm kwa Wanawake Wilaya ya Kinondoni Rehema Nassoro akisaini hati ya kumtambua kuwa ndio mshindi wa shindano la Shika ndinga
Afisa Uhusiano wa Efm Neema Makarasi akiwavesha makoti na vifaa vya pikipiki washindi wa shindano hilo
Afisa Uhusiano wa Efm Neema Makarasi akikabidhi pikipiki kwa Alphonce Daudi ambaye ni mshindi
Afisa Masoko wa kampuni ya SanMoto akikabidhi funguo kwa shindi wa shindano hilokwa Wanawake. 
Picha zote na Humphrey Shayo wa Globu ya Jamii
SHARE

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment