Benki ya CRDB tawi la Mlimani City yaadhisha siku ya wanawake na wateja wake


Baadhi ya wateja wa akaunti ya Malkia ya Benki ya CRDB tawi la Mlimani City wakiwa na zawadi zao walizopewa na benki hiyo wakati wa kusherehekea siku ya wanawake iliyoadhimishwa leo ofisini kwao jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wateja wa akaunti ya Malkia ya Benki ya CRDB tawi la Mlimani City pamoja na maofisa wa Benki hiyo, wakisherehekea siku ya wanawake iliyoadhimishwa leo ofisini kwao jijini Dar es Salaam.
wafanyakazi wa benki ya CRDB tawi la Mlimani City wakiwa katika picha ya pamoja wakifurahia siku ya wanawake duniani.
Meneja Huduma kwa Wateja wa benki ya CRDB tawi la Mlimani City, Lilian Lema akigawa biskuti kwa wateja wa benki hiyo Leo ikiwa ni sehemu ya kuazimisha siku ha wanawake duniani. Sherehe hizo zimefanyika katika benki hiyo tawi la Mlimani City Jijini.
Meneja Maendeleo ya biashara wa benki ya CRDB tawi la Mlimani City, Andrew Kuzilwa akifungua rasmi sherehe za siku ya wanawake w tawi hilo leo.SHARE

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment