Simu ya Nokia 3310 yazinduliwa upya


Simu ya Nokia 3310 yazinduliwa upya miaka 17 baadaye
Image captionSimu ya Nokia 3310 yazinduliwa upya miaka 17 baadaye

Simu ya Nokia 3310 yazinduliwa upya

Simu ya Nokia 3310 imezinduliwa upya miaka 17 baada ya uzinduzi wake rasmi.
Wengi wanaiona simu hiyo kuwa nzuri kutokana na umaarufu wake na uthabiti.
Zaidi ya simu milioni 126 zilitengezwa kabla ya kuondolewa katika soko 2005.
Simu za Nokia 3310Haki miliki ya pichaNOKIA
Image captionSimu za Nokia 3310
Simu mpya iliokarabatiwa itauzwa chini ya leseni ya kampuni ya Finland ya HMD Global ambayo pia ilizindua simu kadhaa za Nokia aina ya smartphone.
Mtaalam mmoja alisema ni njia nzuri ya kuzindua simu za Nokia.
''Simu hiyo ya 3310 ilikuwa ya kwanza katika soko na inasubiriwa na wengi'' ,alisema Ben Wood, mshauri wa kiteknolojia.
NOKIAHaki miliki ya pichaNOKIA
Image captionNOKIA
''Hatua hiyo ya kuzindua upya Simu ya 3310 ni wazo zuri na tunataraji itauza kwa wingi''
bbc
SHARE

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment