KIVUMBI LIGI KUU KUENDELEA KUTIMUA TENA LEO...Michezo miwili ya Vpl kupigwa leo


TFFHaki miliki ya pichaGOOGLE
Image captionShirikisho la mpira wa miguu Tanzania
Michezo miwili ya ligi kuu Tanzania bara itapigwa leo katika mkoa ya mtwara na Jiji la Mbeya.
Ndanda Fc ya Mtwara watakua nyumbani katika dimba Nangwanda Sijaona kuwakaribisha Mbao Fc kutoka mkoani Mwanza.
Tanzania Prisons ya Jijini Mbeya watakua wenyeji wa Kagera Sugar ya Mkoani Kagera mchezo huo utapigwa katika dimba la Sokoine
Mechi nyingine za ligi hiyo zitaendelea Februari 17, 18 na 19 kwa mujibu wa Ratiba.
SHARE

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment