Facebook yavuna mapesa zaidi sasa ndio mtandao unaoongoza kwa kuingiza faida kubwa


Kampuni ya facebook
Image captionKampuni ya facebook
Kampuni ya mtandao wa facebook imeripoti kuongezeka kwa faida katika ripoti yake ya robo ya kwanza ya mwaka 2016.
Kampuni hiyo ilijipatia zaidi ya dola bilioni tatu na nusu ,na kupita makadirio .
Hisa zake zilipanda thamani kwa asilimia 2 baada ya biashara ya saa moja.
Kwengineko mahakama moja ya kijimbo nchini Marekani imeitaka facebookm kuilipa dola milioni mia tano kampuni ya uchapishaji wa videogame ZeniMaxMedia kwa kutumia kodi ya kumpyuta yake ili kuzindua Virtual Reality Headset.
ZeniMax ilidai kwamba mfanyikazi wake mmoja wa zamani ambaye sasa ndio afisa mkuu wa maswala ya teknolojia katika facebook alianzisha teknolojia hiyo wakati bado alipokuwa akiifanyia kazi kampuni hiyo.
bbc
SHARE

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment