Wabunge wapya wa Somalia waapishwa


Wabunge wa bunge lililopita Somalia wakiapishwa
Image captionWabunge wa bunge lililopita Somalia wakiapishwa
Wabunge wapya wa bunge la Somalia, kwa sasa wanaapishwa katika sherehe zinazofanyika katika mji mkuu - Mogadishu.
Hii ni hatua muhimu mno ya kuelekea kumchagua Rais mpya.
Lakini uchaguzi wa wabunge bado haujakamilika.
Wengine walinyimwa fursa ya kuwania uchaguzi huo kutokana na kashfa mbalimbali.
Umoja wa Mataifa, Umoja wa Afrika -AU na asasi nyingine za kisheria, zimesema kuwa uhalali wa uchaguzi huo ni tete.
SHARE

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment