ULEGA AZIDI KUTAFUTA CHANGAMOTO Z A WANANCHI WA JIMBO LA MKURANGA


 Mbunge wa Mkuranga, Abdallah Ulega akizungumza na wananchi wa kijiji cha Kisayani alipokwenda kuwatembelea pamoja na kuangalia maendeleo ya kijiji hicho leo 
 Mwenyekiti wa Kijiji cha Kisayani, Siasa Kibende  akizungumza katika wananchi wa kijiji hicho walipotembelewa  na Mbunge wa Mkuranga, Abdallah Ulega alipokwenda kuwatembelea pamoja na kuangalia maendeleo leo.
 Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mkuranga,Juma  Abeid akizungumza na wananchi wa Vijiji vya Kisiyani na Msorwa katika ziara ya Mbunge wa Mkuranga Abdallah Ulega leo.
 Diwani wa Kata ya Mbezi, Mkuranga, Rashid Selungwi akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Msorwa katika ziara ya Mbunge wa Mkuranga Abdallah Ulega leo.
 Mkazi wa Kijiji cha Kisiyani Kata ya Mbezi, Joel Kianga akichangia mada katika ziara ya Mbunge wa Mkuranga, Abdallah Ulega leo
 Mkazi wa Kijiji cha Msorwa  Kata ya Mbezi,  Kautila Kautila  akichangia mada katika ziara ya Mbunge wa Mkuranga, Abdallah Ulega leo .
 Sehemu ya wananchi wa kijiji cha Kisiyani wakimsikiliza  Mbunge wa Mkuranga , Abdallah Ulega
 Sehemu ya wananchi wa kijiji cha Kisiyani wakimsikiliza  Mbunge wa Mkuranga , Abdallah Ulega
 Sehemu ya wananchi wa kijiji cha Kisiyani wakimsikiliza  Mbunge wa Mkuranga , Abdallah Ulega
 Mbunge wa Mkuranga, Abdallah Ulega akiwa ameambatana na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mkuranga,Juma  Abeid,pamoja na Diwani wa Kata ya Mbezi, Rashid Selungwi wakagua ghala la kuifadhia korosho katika kijiji cha  Msorwa kata ya Mbezi.
  Mbunge wa Mkuranga, Abdallah Ulega akisalimiana na wananchi wa kijiji cha Kisayani alipokwenda kuwatembelea
 Mbunge wa Mkuranga, Abdallah Ulega akisalimiana na wananchi wa kijiji cha Kisayani alipokwenda kuwatembelea
 Mbunge wa Mkuranga, Abdallah Ulega akisalimiana na wananchi wa kijiji cha Kisayani alipokwenda kuwatembelea.

 Mbunge wa Mkuranga, Abdallah Ulega akisikiliza kero za wananchi wa kijiji cha Kisayani alipokwenda kuwatembelea
 Mkazi wa Kijiji cha Msorwa  Kata ya Mbezi akichangia mada katika ziara ya Mbunge wa Mkuranga, Abdallah Ulega leo .
SHARE

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment