Syria:Maelfu ya watu wapelekwa sehemu salama Aleppo


Maisha mapya baada ya vita
Image captionMaisha mapya baada ya vita

Syria:Maelfu ya watu wapelekwa sehemu salama Aleppo

Watu takriban elfu tatu wakiwemo mamia ya watoto wameanza kuokolewa kutoka maeneo yaliyokuwa yanashikiliwa na waasi huko Aleppo.
Kamati ya kimataifa ya msalaba mwekundu imesema watoa misaada kwa sasa wanachukua mamia ya watu kutoka maeneo mbalimbali na kuwapeleka sehemu salama zaidi.
Mlolongo wa magari ya wagonjwa na magari ya abiria yamekuwa yakifanya kazi kubwa kusaidia kuwasogeza watu hao katika sehemu zinazoshikiliwa na serikali.
Takriban watu 50,000 wanasemekana bado wanaishi Mashariki mwa Aleppo
Image captionTakriban watu 50,000 wanasemekana bado wanaishi Mashariki mwa Aleppo
Maafisa wanasema uokoaji huo unatarajiwa kuchukua siku kadhaa.
SHARE

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment