MWIJAGE AFUNGUA MAONESHO YA VIWANDA VIWANJA VYA SABASABA JIJINI DARES SALAAM LEO.


 Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Charle’s Mwijage akizungumza katika ufunguzi wa maonesho ya viwanda yanayofanyika katika viwanja vya sabasaba  barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam.
 Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo ya Viwanda (UNIDO)  Bw. Gellard Lunyoro akizungumza  katika ufunguzi  wa maonesho ya viwanda na malengo juu uwezeshaji wa viwanda hivyo, leo katika viwanja vya saba saba barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam.
 Kaimu Mkurugenzi wa TanTrade Bw. Edwin Rutageruka  akizungumza juu maonesho ya viwanda leo katika viwanja vya Saba Saba  barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam.
 Sehemu ya hadhira  wakimskiliza Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charle’s Mwijage wakati akifungua maonesho hayo katika viwanja vya sabasaba jijini Dar es Salaam.
 Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charle’s Mwijage akipokea zawadi kutoka kwa Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Maonesho ya Viwanda, leo katika viwanja vya sabasaba jijini Dar es Salaam.
 Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charle’s Mwijage akitembelea mabanda
 Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charle’s Mwijage akitembelea banda la Tanga Fresh
 Mnadhimu Mkuu wa JWTZ Luteni Jenerali Venance Mabeyo (wa tatu kulia) akipokea maelezo toka katika moja ya vibanda. 
 Wananchi wakijionea kazi na bidhaa za viwanda mbalimbali kwenye vibanda vyao
  Wananchi wakijionea kazi na bidhaa za viwanda mbalimbali kwenye vibanda vyao

 Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charle’s Mwijage akiambatana na Kaimu Mkurugenzi wa TanTrade,  Edwin Rutageruka kutembelea mabanda
 Wananchi wakifurahia bidhaa za kiwanda cha SUNBELT
 Wananchi wakipata maelezo katika banda la taaasisi ya Global Education Link 
 Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charle’s Mwijage akiwa katika banda la AQUAS
Mnadhimu Mkuu wa JWTZ Luteni Jenerali Venance Mabeyo (wa pili kulia) akipokea maelezo toka katika banda la Global Education Link. 
Picha zote na Emmanuel Masaka, Globu ya Jamii.
SHARE

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment