Malkia wa Uingereza akosa ibada ya Krismasi


Familia ya Malkia Elizabeth ikielekea kanisani bila yeye kwa ibada ya Krismas bila yeye
Image captionFamilia ya Malkia Elizabeth ikielekea kanisani bila yeye kwa ibada ya Krismas bila yeye

Malkia wa Uingereza akosa ibada ya Krismasi

Malkia wa Uingereza ameshindwa kuhudhuria ibada ya krismas kwa kuwa bado anaugua homa kali.
Buckingham Palace imesema kuwa anaendelea kusalia nyumbani ili kumsaidia kupona lakini ikaongezea kuwa atahudhuria sherehe za krismas za familia.

Wanamfalme Phillip, Charles, Harry na wengine walihudhuria ibada ya krismasi katika nyumba ya Malkia ya Norfolk huko Sandrigham.
Malikia na Mwanamflame Phillip walianza likizo yao ya Krismasi na kuvunja safari yao kwa wote walikuwa wanaugua homa.
Malkia Elizabeth akionekana akitoka kanisani 2015.Elizabeth amekuwa akihudhuria ibada ya krismasi kila mwaka
Image captionMalkia Elizabeth akionekana akitoka kanisani 2015.Elizabeth amekuwa akihudhuria ibada ya krismasi kila mwaka
Walisafiri hadi Buckingham kupitia ndege baada ya kukosa treni siku ya Jumatano.
SHARE

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment