Auckland ndio mji wa kwanza kuukaribisha mwaka mpya 2017


Mji wa Auckland nchini New Zealnd ndio mji wa kwanza duniani kuukaribisha mwaka mpya wa 2017.Image copyrightREUTERS
Image captionMji wa Auckland nchini New Zealnd ndio mji wa kwanza duniani kuukaribisha mwaka mpya wa 2017.

HAYA NDIO MAAJABU YA MWAKA MPYA DUNIANI...

Auckland ndio mji wa kwanza kuukaribisha mwaka mpya 2017

Mji wa Auckland nchini New Zealnd ndio mji wa kwanza duniani kuukaribisha mwaka mpya wa 2017.
Fataki zilirushwa kutoka jengo refu katikati mwa mji huo.
Polynesia na visiwa vya Pacific ikiwemo Samoa, Tonga na kiribati pia viliukaribisha mwaka mpya.
Miji mingi duniani imeimarisha usalama kwa sherehe za mkesha wa mwaka mpya baada ya mwaka ambapo washambuliaji waliendesha malori katika umati wa watu mjini Berlin na Nice.
Mwaka mpya nchini India kusherehekewa hiviImage copyrightEPA
Image captionMwaka mpya nchini India kusherehekewa hivi
Mjini Paris Madrid na New York vizuizi vya simiti na magari yaliobeba mizigo mizito yatatumiwa kuzuiwa bustani zilizopo mjini ambapo watu wengi hukongamana ili kusherehekea.
SHARE

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment