Zaidi ya watu 100 wafariki kwenye ajali ya treni IndiaWaokoaji wanakata mabaki kuwafikia watu waliokwama ndani

Zaidi ya watu 100 wafariki kwenye ajali ya treni Indi

Idadi ya watu waliyofariki kutokana na ajali ya treni iliyotokea mapema leo kaskazini mwa India, imeongezeka na kupita watu 100 na kuwajeruhi mamia ya wengine.
Treni hiyo ilikuwa ikitoka Indore kuelekea Patna kabla ya kupoteza muelekeo na kutoka katika barabara ya reli na kuanguka ilipokaribia mji wa Mashariki wa Kanpur katika jimbo la Utter Pradesh.


Wengi wa waliokufa walikuwa kwenye mabehewa yaliyokuwa karibu na injiniImage copyrightAFP
Image captionWengi wa waliokufa walikuwa kwenye mabehewa yaliyokuwa karibu na injini

Maafisa wa kutoa huduma za dharura wanajaribu kuwaokoa manusura waliokwama katika mabehewa yaliyoanguka.
Waziri wa uchukuzi wa India ameamuru kufanywa kwa uchunguzi kubaini kilichosababisha ajali hiyo.
SHARE

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment