UN yaendelea kutoa misaada kwa wakimbizi wa Syria


Wakimbizi ndani ya nchi yao
Image captionWakimbizi ndani ya nchi yao
Umoja wa mataifa umeendelea kutoa msaada kwa zaidi ya wakimbizi elfu hamsini na nane wengi wao wakiwa ni wanawake na watoto Baada ya vikosi vya Jordan kujitoa kuisaidia Syria.
Wamekuwa wakiishi kwa awamu mbili kambini katika maeneo ya pembezoni.
Jordan ilifunga mipaka yake kufuatia shambulizi la mabomu lililouwa wanajeshi saba mwezi June mwaka huu, ambapo wapiganaji wa kiislam walihusishwa na tukio hili, chakula kwa wakimbizi kimepelekwa mara moja.
Umoja wa mataifa unatarajia kujenga hospitali ya wakimbizi katika kambi hizo.
SHARE

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment