TBA yasimamia makabidhiano ya kiwanja namba 20 toka Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC) kwenda MKURABITA


 Mkuu wa Utafiti na Maendeleo toka Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) Bi. Asha Myanza (kushoto) akifafanua  jambo wakati wa makabidhiano ya kiwanja namba 20 toka Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC) kwenda kwa Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA) mapema hii leo jijini Dar es Salaam, kulia ni Mwanasheria wa MKURABITA Bi. Jane Kissanga.
  Mratibu wa kwa Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA) Bi. Seraphia Mgembe akisisitiza jambo kwa wawakilishi wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA), Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC) na Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA) wakati wa makabidhiano ya kiwanja namba 20 toka Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC) kwenda kwa Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA) mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
 Mkuu wa Utafiti na Maendeleo toka Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) Bi. Asha Myanza (kushoto) akijadiliana jambo na Mwanasheria wa MKURABITA Bi. Jane Kissanga wakati wa makabidhiano ya kiwanja namba 20 toka Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC) kwenda kwa Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA) mapema hii leo jijini Dar es Salaam, kulia ni Mwanasheria wa MKURABITA Bi. Jane Kissanga
 Jengo ambalo lipo katika kiwanja namba 20 lililokabidhiwa kwa Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA) toka Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC) chini ya usimamizi wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) mapema hii leo jijini Dar es Salaaam.
 Afisa Ardhi toka Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC)  Bw. Haruna Mpembeni akionesha mipaka ya kiwanja namba 20 wakati wa makabidhiano ya kiwanja hicho toka Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC) kwenda kwa Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA) mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
  Mkuu wa Utafiti na Maendeleo toka Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) Bi. Asha Myanza (kushoto) akifurahia jambo na Mratibu wa kwa Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA) Bi. Seraphia Mgembe mara baada ya ukaguzi wa mipaka ya kiwanja namba 20 toka Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC) kwenda kwa Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA) mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
Mratibu wa kwa Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA) Bi. Seraphia Mgembe akiwa katika picha ya pamoja na wawakilishi toka Wakala wa Majengo Tanzania (TBA), Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC) na Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA) mara baada ya makabidhiano ya kiwanja namba 20 toka Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC) kwenda kwa Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA) mapema hii leo jijini Dar es Salaam, kulia ni Mwanasheria wa MKURABITA Bi. Jane Kissanga.

Picha zote na Eliphace Marwa – Maelezo.
SHARE

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment