MOTO MKUBWA UNAONDELEA KUWAKA HUKO ISRAEL WALITEKETEZA TAIFA HILO VIKOSI VYA UOKOAJI NA ZIMA MOTO VYAENDELEA NA MAPAMBANO YA KUUZIMA.


Bado haijajulikana nini chanzo cha moto huo.
Image captionBado haijajulikana nini chanzo cha moto huo.
Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema kuwa moto mkubwa ulioenea Magharibi mwa nchi hiyo huenda umesababishwa makusudi na yawezekana likawa ni tukio la kigaidi.
Akizungumza na wananchi katika mji wa Haifa ampapo zaidi ya maelfu ya wananchi waliondolewa kwenye makazi yao, amesema ni moja kati ya milipuko sita ya moto iliyowahi kutokea siku chache zilizopita ambapo maelfu ya makazi yameharibiwa kwa moto.
Moto huo unachochewa na hali ya ukavu unaosababisha moto kuenea haraka.
Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu
Image captionWaziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu
Nchi kadhaa zimetuma vikosi vya ndege vya zimamoto kusaidia kuzima moto huo ulionea pakubwa kwa muda mfupi.
BBC
SHARE

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment