Breaking News.... ALIYEKUWA SPIKA WA BUNGE NA MWENYEKITI WA BUINGE LA KATIBA MZEE SAMWEL SITTA AFARIKI DUNIA NCHINI UJERUMANI

MZEE SAMWELI SITTA ENZIO ZA UHAI WAKE..

TANZIA: 

Aliyekuwa Spika mstaafu wa Bunge na Waziri Mwandamizi Mhe. Samuel Sitta amefariki dunia usiku wa kuamkia leo huko Ujerumani akiwa katika matibabu... Poleni ndugu , jamaa na marafiki wote na Mungu ailaze Roho ya Marehemu mahala pema peponi Amina
SHARE

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment