WALIMU WA MAFUNZONI WALIOTESA NA KUMPIGA MWANAFUNZA WALIPASUA TAIFA JAMII YASHTUSHWA NA KITENDO WALICHOKIFANYA WALIMU HAO.


Walimu waliokuwa wakimshambulia mwanafunzi nchini Tanzania
Image captionWalimu waliokuwa wakimshambulia mwanafunzi nchini Tanzania
SIMANZI KADA YA UWALIMU TANZANIA....WALIMU WA MAFUNZONI WALIOMTESA NA KUMPIGA MWANAFUNZA WALIPASUA TAIFA,JAMII YASHTUSHWA NA KITENDO WALICHOKIFANYA WALIMU HAO.
Kufuatia kusambaa kwa video inayoonyesha wanafunzi wa vyuo vikuu waliokuwa mafunzi kama walimu wakpiga kwa kumchangia mwanafunzi mmoja wa shule ya sekondari ya mbeya tukio hili linaelezewa kama ni tukio lililolistua taifa na jamii kwa ujumla kufuatia tukio hilo kufanywa na watu wanaopaswa kuwa walezi wa watoto hao...
>>>>>soma kwa kina ujue kinachoendelea kwa sasa.....>>>>>

Serikali ya Tanzania imeagiza kufanyika kwa uchunguzi kuhusu kanda ya video ilioonyesha kundi moja la walimu likimpiga mwanafunzi.
Mwalimu mkuu wa shule hiyo tayari amesimamishwa kazi kwa mda kwa kutochukua hatua hata baada ya kugundua kuhusu kisa hicho ,taarifa ya serikali imesema.
Raia wa Tanzania katika mitandao ya kijamii walionyesha hasira zao ,wakiitaka serikali kuchukua hatua dhidi ya washambuliaji hao.
Video hiyo ambayo haijakaguliwa inaonyesha mwanafunzi mmoja akipigwa na kundi la walimu katika kile kinachoonekana kuwa chumba cha wafanyikazi wa shule.
Katika kanda hiyo ya sekunde 38,takriban watu watano wanaonekana wakikabiliana na kushambulia mvulana huyo aliyeanguka chini kwa kumpiga ngumi pamoja na mateke.
Adhabu ya kupigwa viboko ni haramu nchini Tanzania,na kisa hicho cha hivi karibuni kinatarajiwa kuzua mjadala kuhusu utekelezwaji wa sheria hiyo katika shule za taifa hilo.
Mpaka sasa inasubiriwa taarifa kutoka jeshi la polisi itakayoeleza hatua zaidi za kiusalama zilizochukuliwa na jshi hilo ambapo taarifa za awali zinasema tayari walimu hao wamshakamatwa..
SHARE

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment