MAKAMU WA RAIS,MH. SAMIA SULUHU AONGOZA ZOEZI LA UPANDAJI MITI JIJINI DAR LEO


 Wana Jogging kutoka Vikundi mbalimbali Jijini Dar es salaam wakianza kukimbia kutokea eneo la Mgulani wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Kampeni ya Mti Wangu ikiwa ni sehemu ya kumuunga Mkono Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda

 Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda akifanya Jogging sambamba na Askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania, wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Kampeni ya Mti Wangu iliyofanyika leo katika eneo la Mgulani, Temeke Jijini Dar es salaam.
 Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan akilakiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda alipowasili eneo la Mgulani Wilayani Temeke, kulikofanyika Uzinduzi wa Kampeni ya Mti Wangu iliyoanzishwa na Mkuu wa Mkoa, leo Septemba 1, 2016.


SHARE

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment