KILELE CHA IKUNGI HALF MARATHON 2016 CHARINDIMA WILAYANI IKUNGI MKOANI SINGIDAMkuu wa Mkoa wa Singida Mhandisi Mathew Mtigumwe akishiriki kutazama washiriki wa Ikungi Half Marathon 2016 walivyoanza mbio hizo katika Kijiji Cha Kimbwi Kuelekea Uwanja wa Shule Ya Sekondari Ikungi pembeni yake ni Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mhe Miraji Jumanne Mtaturu na Hassan Tati Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Ikungi
Wananchi wakifuatilia kwa makini Ikungi Half Marathon katika maeneo yao 


Washiriki wa Ikungi Half Marathon wakianza kukimbia katika Kijiji cha KimbwiMkuu wa Mkoa wa Singida Mhandisi Mathew Mtigumwe, Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mhe Miraji Jumanne Mtaturu na viongozi wa ngazi ya Chama cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Ikungi wakitazama namna wakimbiaji wanavyowasili katika uwanja wa shule Ya Sekondari IkungiMwandishi wa www.wazo-huru.blogspot.com akimsaidia kufanya mazoezi ya kuimarisha misuli Mshindi wa Ikungi Half Marathon 2016 kwa upande wa wananwake kwa umbali wa Kilomita 21
SHARE

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment