BREAKING NEWS.... TANZIA DK DIDAS MASABURI AMEFARIKI DUNIA NI ALIYEWAHI KUWA MEYA WA JIJI LA DAR NA MBUNGE AFRIKA MASHARIKI...

Image result for Masaburi
Aliyewahi kuwa Meya wa Jiji la Dar na Mbunge wa Afrika Mashariki, Dakta Didas Masaburi amefariki dunia usiku huu hospitali ya Taifa Muhimbili alikokuwa amelazwa.

Taarifa kamili kuhusu kifo chake na taratibu za mazishi mtaendelea kuzulishwa kupitia hapa TANURU LA FIKRA baada ya kupokea taarifa rasmi toka kwa familia ya marehem Dk Masaburi.

Marehemu atakumbukwa na wengi kuwa ni mmoja ya watu waliolitumikia taifa na kuleta mchango mkubwa katika nyanja zote za kijamii, Kisiasa na Kiuchumu.

R. I. P Dakta DIDAS MASABURU.
SHARE

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment