TPSF YAJIPANGA KIMKAKATI KUKUZA UCHUMI WA NCHI KWA KUONGEZA MAUZO YA BIDHAA ZA TANZANIA NJE YA NCHI.

Taasisi ya mfuko wa Sekta binafsi Tanzania TPSF imejipanga kimkakati katika KUKUZA uchumi WA nchi Na KUONGEZA mauzo ya Bidhaa za Tanzania nje ya nchi.

Akimzungumza Na Waandishi WA Habari Leo katika hotel ya New Afrika mkurugenzi wa Sera Utafiti Na Ushauri wa TPSF Gili Teri amesema lengo lao kwa sasa ni kuandaa Sera maalamu zitakazoiwezesha Serikali ya Tanzania kupata mapato mengi zaidi Na KUKUZA uchumi kutokana Na kuongezeka KWA mauzo ya BIDHAA zenye ubora nje ya nchi.

Pia ameongeza kuwa mafanikia ya kila nchi hutegemea Sekta binafsi ushiriki wake pamoja Na Serikali ili kukuza uchumi.
PICHA NA HABARI TANURU LA FIKRA MEDIA REPORTERPICHANI NI MKURUGENZI WA SERA UTAFITI NA USHAURI GILI TERI
SHARE

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment