SOMALIA YAIZUIA KENYA KUPELEKA MIRUNGI (GOMBA) SOMALIA HUENDA UAMUZI HUU UKAIATHIRI KENYA KIUCHUMI

Wafanyibiashara wa Miraa
SOMALIA YAIZUIA KENYA KUPELEKA MIRUNGI (GOMBA) SOMALIA  HUENDA UAMUZI HUU UKAIATHIRI KENYA KIUCHUMI 
Serikali ya Somalia imesitisha kwa mda ndege zote zinazoingiza miraa kutoka taifa jirani la Kenya.
Biashara hiyo ina thamani ya mamia ya mamilioni ya madola kila mwaka.
Waziri wa maswala ya anga nchini Somalia Ali Ahmed Jama Jangali,amesema kuwa marufuku hiyo itaanza kutekelezwa siku ya Jumanne lakini hakutoa maelezo zaidi.
Miraa ni maarufu sana nchini Somalia ,ambapo hutafunwa kwa saa kadhaa na hutumika kusisimua mwili 

Ndege za miraa kutoka Kenya zapigwa marufuku Somalia

Somalia yapiga marufuku Miraa kutoka Kenya
Image captionSomalia yapiga marufuku Miraa kutoka Kenya
Serikali ya Somalia imesitisha kwa mda ndege zote zinazoingiza miraa kutoka taifa jirani la Kenya.
Biashara hiyo ina thamani ya mamia ya mamilioni ya madola kila mwaka.
Waziri wa maswala ya anga nchini Somalia Ali Ahmed Jama Jangali,amesema kuwa marufuku hiyo itaanza kutekelezwa siku ya Jumanne lakini hakutoa maelezo zaidi.
Miraa ni maarufu sana nchini Somalia ,ambapo hutafunwa kwa saa kadhaa na hutumika kusisimua mwili .
Wafanyibiashara wa Miraa
Image captionWafanyibiashara wa Miraa
Miraa mingi katika sehemu ya kusini na katikati mwa Somalia hutoka nchini Kenya.
Haikuzwi nchini Somalia.
Miraa hutumika na imepigwa marufuku nchini Marekani pamoja na mataifa kadhaa ya Ulaya.
SHARE

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment