Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea ujumbe maalum kutoka kwa Rais wa Burudi uliowasilishwa kwake na Alain Nyamitwe Waziri wa Mambo ya Nje wa Burundi Ikulu jijini Dar es Salaam.

  .

Picha na IKULU.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Aggrey Tisa Sabuni Mjumbe maalum wa Rais wa Sudani Kusini aliyefika Ikulu kwa ajili ya mazungumzo na kuwasilisha ujumbe kutoka kwa Rais huyo wa Sudan kusini

SHARE

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment