Rais Museveni wa Uganda awasili Dar jioni hii tayari kwa mkutano wa viongozi wa jumuiya ya Afrika Mashariki

Rais Museveni wa Uganda awasili Dar jioni hii tayari kwa mkutano wa viongozi wa jumuiya ya Afrika Mashariki
Mwenyekiti wa Jumuya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli akitambulisha wasaidizi wake kwa Mgeni wake, Rais wa Uganda Mhe Yoweri Kaguta Museveni, alipowasili Ikulu Dar es salaam leo jioni Septemba 7, 2016   tayari kwa mkutano wa Viongozi wa jumuiya hiyo hapo kesho.

 Mwenyekiti wa Jumuya ya Afrika Mashariki Rais Dt John Pombe Magufuli akipeana mkono na Rais wa Uganda Mhe Yoweri Kaguta Museveni  alipowasili Ikulu Dar es salaam leo jioni Septemba 7, 2017 tayari kwa mkutano wa Viongozi wa jumuiya hiyo hapo kesho.

 Mwenyekiti wa Jumuya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli akitambulisha wasaidizi wake kwa Mgeni wake, Rais wa Uganda Mhe Yoweri Kaguta Museveni, alipowasili Ikulu Dar es salaam leo jioni Septemba 7, 2017   tayari kwa mkutano wa Viongozi wa jumuiya hiyo hapo kesho.

 Mwenyekiti wa Jumuya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli na Rais wa Uganda Mhe Yoweri Kaguta Museveni wakiwa na Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika mashariki, Kikanda na Kimataifa Dkt Augustine Mahiga na Waziri wa Fedha na Mipango Dkt Plilip Mpango mara mgeni wake huyo alipowasili Ikulu Dar es salaam leo, tayari kwa mkutano wa Viongozi wa jumuiya hiyo hapo kesho.

 Mwenyekiti wa Jumuya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli katika mazungumzo na Rais wa Uganda Mhe Yoweri Kaguta Museveni mgeni wake huyo alipowasili Ikulu Dar es salaam leo jioni  tayari kwa mkutano wa Viongozi wa jumuiya hiyo hapo kesho.


SHARE

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment