RAIS DKT MAGUFULI ATEMBELEA KIKOSI CHA ANGA CHA ANGA 603 KJ CHA JWTZ KATIKA KUSHEREHEKEA MIAKA 52 YA JESHI LA WANANCHI


  Amiri Jeshi Mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwasili makao makuu ya Kikosi cha Anga 603 KJ Majumba Sita Ukonga jijini Dar es salaam  alikotembelea kuwapongeza kwa kusherehekea miaka 52 ya Jeshi la Wananchi  Septemba 1, 2016SHARE

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment