RAIS DK MAGUFULI APOKELEWA KWA KISHINDO PEMBA LEO ZIARA YAKE YAWA GUMZO KILA KONA AFUNIKA MBAYA KABISA.

P2
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia mamia ya wanchi wa Pemba katika uwanja wa Gombani ya kale Chake chake kisiwani Pemba.
P4
Umati wa watu wakimsikiliza Rais wa Jamhuri Dk MagufuliP1
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein kabla ya kuhutubia mkutano wa katika uwanja wa Gombani ya kale Chake chake kisiwani Pemba.
P5 
Rais John magufuli akisalimiana na naibu katibu Mkuu wa CCM Zanzibar VuaiAli Vuaileo katika uwanja wa Gombani ya kale katika mkutano wa kuwashukuru wananchi wa Mikoa ya Pemba.
PICHA NA IKULU
SHARE

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment