RADIO FIVE KUENDELEA KUSOTA KIFONGONI MAJIC FM YAONYA VIKALI NANKUTAKIWA KUOMBA RADHI.

Breaking News:

Maamuzi ya Kamati ya Maudhui juu ya Radio 5 Kukiuka Kanuni za Utangazaji Na sasa kufungiwa miesi 3 Na kuwa chini ya Uangalizi mwaka 1 Na fine juu...


Kituo kilivunja Kanuni za Maudhui kwa Kumkashifu Rais na Serikali na kuchochea na kuhamasisha uvunjifu wa amani, kupambana na Polisi. Kanuni za Maudhui zimekuwa. 

Maamuzi: 
1. Fine shs 5 million
2. Kufungiwa kwa miezi 3
3. Inawekwa chini ya uangalizi kwa mwaka mmoja.
SHARE

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment