Kufuatia Tetemeko la ardhi kuimba Tanzania..na kuzua taharuki Riis Dk Magufuli atuma salamu kwa mkuu wa mkoa na kuwapa pole wahanga wote wa tukio hilo.


Kufuatia kutokea kwa janga hilo la tetemeko la ardhi Mh Rais Dk Magufuli ameeleza kusisikishwa kwake na janga hilo la kibinadamu na kuwataka wahanga kuwa watalivu na wavumilivu wakati serikali ikiendelea kuchukua hatua za dharura kuwasaidia waathirika hao.


>>>>TAZAMA PICHA ZA TUKIO ZIMA NDANI NATUNAPMBA RADHI BAADHI YA PICHA ZINATIA SIMANZI NA HUZUNI,
image.jpeg


image.jpeg


image.jpeg


bukoba10.jpgTetemeko hilo lilisikika maeneo ya Kaskazini Magharibi mwa Tanzania
Image captionTetemeko hilo lilisikika maeneo ya Kaskazini Magharibi mwa Tanzania
Tetemeko la ardhi lenye uzito wa 5.7 katika vipimo vya richa limekumba eneo la Kaskazini Magharibi mwa Tanzania karibu na ziwa Victoria.
Majengo kadha yanaripotiwa kuharibiwa katika miji iliyo karibu.
Hata hivyo hakuna taarifa zaidi za kuwepo maafa . Mitetemeko mingine midogo pia ilisikika katika mataifa jirani ya Kenya na Rwanda.

SHARE

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment