HOTELI YA KCC KIBAHA MAILI MOJA YASHIKA MOTO LEO HII NA KUUNGUA YOTE HALI INASIKITISHA SANA KWA KWELIMoto Mkali ukiendelea kuteketeza eneo la jiko la hoteli ya KCC iliyopo Kibaha Maili Moja, Mkoani Pwani mchana huu. Askari wa zimamoto bado wanaendelea na uzimaji wa moto huo. haijafahakima bado kama kuna mtu aliyepoteza maisha au kujeruhiwa kutokana na tukio hilo la moto. PICHA ZOTE NA CATHBERT KAJUNA WA KAJUNASO BLOG.
Moto ukiendelea kuteketeza Jengo hilo.
Baadhi ya Askari wa Kikosi cha Zimamoto na Uokoaji wakiendelea na kazi ya uzimaji wa Moto huo, uliozuka ghafla kutokea katika Jiko la Hoteli hiyo, Mchana huu.


SHARE

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment