Breaking News.... Bweni la Wasichana Shule secondary Mwanzi Manyoni linaungua moto mda huu. >>>>>soma zaidi...


Bweni la wasichana wa kidato cha V na VI wa Shule ya Sekondari ya Mwanzi Manyoni limeungua moto uliozuka kuanzia saa 2.20 usiku. Bweni lilikuwa linatumiwa na wanafunzi 40 ambapo vitu vichache sana vimeweza kuokolewa. Bweni lilikuwa la vyumba 3 ambalo vyumba 2 kuta zake zimebomoka kabisa. Inahisiwa kuwa hitilafu ya umeme ndio chanzo.SHARE

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment