WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ATEMBELEA KIJI CHA KATUMBA WILAYANI MPANDA,AZINDUA MNARA ULIOJENGWA NA WAKIMBIZI WALIOPEWA URAIA WA TANZANIA


 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe kuzindua mnara uliojengwa na wakimbizi waliopewa uraia wa Tanzania ili kumshukuru Mungu kwa kupewa uraia huo wakati  alipokitembelea kijiji Katumba mkoani Katavi Agosti 21, 2016. Kushoto kwake ni mkewe Mary na kushoto i Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Meja Jenerali Mstaafu, Raphael Mbuga.
  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakifurahia baada ya kuzindua mnara uliojengwa na wakimbizi waliopewa uraia wa Tanzania ili kumshukuru Mungu kwa kupewa urais huo wakati Waziri Mkuu alipokitembelea kijiji Katumba mkoani Katavi Agosti 21, 2016. Kushoto kwake ni mkewe Mary na kushoto i Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Meja Jenerali Mstaafu, Raphael Mbuga.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi baada ya kuzindua mnara uliojengwa na wakimbizi waliopewa uraia wa Tanzania katika kijiji cha Katumba  mkoani Katavi  Agosti 21, 2016 ili kumshukuru Mungu kwa kupewa uraia huo. Kushoto kwake ni mkewe Mary na kulia ni Mkuu wa mkoa wa Katavi, Meja Jenerali Raphael Mbuga.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Makazi ya Wakimbizi ya Katumba mkoani Katavi, Bwbana Igwe  baada ya kuwasili kambini hapo kuzunguma na wananchi akiwa katika ziara ya mkoa wa Katavi Agosti 21, 2016.  Wapili kulia ni mkewe Mary. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi wa kijiji cha Katumba mkoani Katavi wakati alipoingia kwenye kijiji hicho kuzungumza na wananchi akiwa katika ziara ya mkoa wa Katavi Agosti 21, 2016. Kulia kwake ni Mkuu wa mkoa wa Katavi, Meja Jenerali Raphael Mbuga
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi wa kijiji cha Katumba mkoani Katavi wakati alipoingia kwenye kijiji hicho kuzungumza na wananchi akiwa katika ziara ya mkoa wa Katavi Agosti 21, 2016. Kulia kwake ni Mkuu wa mkoa wa Katavi, Meja Jenerali Raphael Mbuga
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akionyesha Mpango wa Mafunzo ya Ujasiriamali katika jimbo la Nsimbo mkoani Katavi aliouzindua  kabla ya kuhutubia mkutano wa hadhara katika kijiji cha Katumba akiwa katika ziara ya mkoa huo Agosti 21, 2016. (Picha na Ofisi ya Wairi Mkuu)
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia Mkutano wa hadhara katika kijiji cha Katumba mkoani Katavi Agosti 21, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Baadhi ya wananchi wa kijiji cha Katumba mkoani Katavi wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakati alipohutubia mkutano wa hadhara kijijini hapo akiwa katika  ziara ya mkoa wa Katavi Agosti 21, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya baiskeli za wananchi wa kijiji cha Katumba wilayani Mpanda wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohutubia Mkutano wa hadhara kijijini hapo akiwa katika ziara ya mkoa wa Katavi Agosti 21, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
SHARE

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment