RC.MAKONDA KUJENGA MAKAO MAKUU YA BAKWATA KWA BILIONI 5 NA MILIONI 80 , AKABIDHI RAMANI YA JENGO LEO, UJENZI KUKAMILIKA MWAKA HUU


RC.MAKONDA KUJENGA MAKAO MAKUU YA BAKWATA  KWA BILIONI 5 NA MILIONI 80 , AKABIDHI RAMANI YA JENGO LEO, UJENZI KUKAMILIKA MWAKA HUU-

Leo Mkuu wa Mkoa wa Dar Mh.Paul Makonda amekabidhi ramani ya jengo la Makao Makuu BAKWATA analotegemea Kujenga Mwaka huu. Ni jengo lenye thamani ya bilioni 5 na milioni 80
Heko Makonda, Uongozi unaoacha Alama. 

  Historia itaandikwa Juu yako RC. Paul Makonda

SHARE

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment