RC.MAKONDA KUHAMISHA UBUNGO STENDI KWENDA MBEZI MWISHO,UBUNGO STENDI KUJENGWA SOKO KUBWA, ATOLEA UFAFANUZI NA UFUMBUZI MAMBO MATANO MAPYA-


RC.MAKONDA  KUHAMISHA  UBUNGO STENDI KWENDA MBEZI MWISHO,UBUNGO STENDI KUJENGWA SOKO KUBWA,
ATOLEA UFAFANUZI NA UFUMBUZI MAMBO MATANO MAPYA-
Leo mchana Mkuu wa Mkoa wa Dar Mh.Paul C. Makonda ametembelea ubungo stendi na amekutana na changamoto nyingi na kuzitolea ufumbuzi
 1) Ameonyesha shauku na Kumtaka Mkurugenzi wa jiji kuanza mchakato wa kuhamisha stendi hiyo ya Ubungo kuhamia Mbezi Mwisho ,na Mahali ilipo stendi sasa pafanywe kwa uwekezaji wa soko kubwa kama la Kariakoo kwani eneo lipo ni jambo la kukamilisha tu mchakato ili ipatikane stendi ya kisasa zaidi,  hiyo imekuwa ndoto ya Makonda kwa muda mrefu.
  2) Ametaka ubungo ifungwe  taa kwani usiku stend panakuwa giza na ni hatari kwa usalama wa abiria hasa wanaoshuka Usiku
.  3) Amelekeza mashimo yote yazibwe 
4) Vyoo havikizi ametaka mkandarasi aongeze vyoo na kuviboresha. 
5) Amepiga marufuku kukamata magari kwa kigezo cha parking wakati hakuna alama za wapi watu wapaki magari yao mwisho kawataka abiria wote wasikate tiketi nje kwani kunaofisi maalum.

SHARE

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment