RC MAKONDA ASAIDIA MILIONI 45 ZA MADAWATI 300 KWA SHULE YA KIILSMA ILIYOUNGUA MOTO.


AHADI YA MAKONDA YATIMIA KUHUSU SHULE YA KIISLAMU DAR, CHINA WACHANGIA MILIONI 45 KWA AJILI YA MADAWATI 300 -


Siku chache zilizopita Mhe.Mkuu wa Mkoa wa Dar Paul  Makonda alitembelea shule ya DAR ISLAMIC SECONDARY SCHOOL Iliyoungua kwa Moto jambo ambalo lilimfanya Mhe.Rc Makonda kupeleka Magodoro 100 na kuahidi kutafuta support ya Madawati kwa ajili ya wanafunzi. 

Kutokana na Tukio hilo Balozi wa China nchini Tanzania amemuunga Mkono Mhe.Rc Makonda Leo kwa kumpatia hundi ya Milioni 45 ili akamilishe ahadi yake ya Madawati 300 katika shule hiyo ya Kiislamu Dar iliyoko ilala.

  #Hongera Sana Rc.Makonda, Hakika Jitihada zako kwa Wana Dar zinaonekana kwa Macho.
SHARE

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment