RAIS DK MAGUFULI AFANYA UTEUSI WA BOSS MPYA WA IDARA YA USALAMA WA TAIFA LEO

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli, amemteua Dk. Modestus Francis Kipilimba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Ikulu jijini Dar es Salaam leo (Agosti 24, 2016) kabla ya uteuzi huo, Dk. Kapilimba alikuwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA).


Modestus Kapilimba, Mkurugenzi Mkuu wa TISS

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli, amemteua Dk. Modestus Francis Kipilimba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Ikulu jijini Dar es Salaam leo (Agosti 24, 2016) kabla ya uteuzi huo, Dk. Kapilimba alikuwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA). Mbali na Dk. Kapilimba, Rais Magufuli pia amemteua Robert Msalika kuwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa na katika hatua nyingine kumteua aliyekuwa Kaimu Mkurugenzi.

SHARE

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment